Johari blandina chagula biography
Johari blandina chagula biography wife...
Blandina Changula
Blandina Changula (alizaliwa mkoani Shinyanga, Tanzania, 28 Julai1984) ni muigizaji na mtayarishaji wa vipindi vya televisheni na filamu nchini Tanzania.
Johari blandina chagula biography
Maisha ya mwanzo
[hariri | hariri chanzo]Blandina alipata elimu ya msingi katika shule ya Bugoyi mwaka1990 hadi 1997 na kujiunga katika shule ya sekondari ya kutwa ya Buluba iliyopo Shinyanga mwaka 1998 hadi 1999.
Akiwa kidato cha pili alihamishiwa katika shule ya bweni ya Kanawa hukohuko mkoani Shinyanga mwaka 1999 hadi 2000 na mwaka huo huo baada ya kuingia kidato cha tatu akahamishiwa tena jijini Dar es Salaam katika shule ya Greens iliyokuwa maeneo ya Temeke kabla ya kuhamishiwa Ubungo shule ambayo alimalizia kidato cha nne hiyo ilikuwa mnamo mwaka 2001.
Blandina Changula anatokea kundi la Kaole Sanaa Group, ni kundi ambalo linafahamika sana nchini Tanzania kwa kutoa nyota wengi waigizaji, Blandina nae ni mmoja kati ya nyota hao, wengine ni Steven Kanumba, Vincent Kigosi (Mr Ray), Thea na wengine